Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Nzuri tu mpendwa, vipi umeamkaje?Yes mpendwa habari za asubuhi ya jumatatu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana...Siumeona huu mnada?
Huwezi amini nipo usingizini huku nachat kwenye uzi wa like naomba nisikosee nikaweka picha yangu πMpendwa huku dunia ya tatu ni saa saba usiku
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mchoyo eti ngoja nikusaidie kuomba
Kd kd wetu eee nimekukosea nini ,kila unachoniomba king,mieninakupatia
kila ninachokuomba jiraniii eee,wenzangu wanikataliaaa,
sasa nikueleweje jiraniii eeesasa nikueleweje KD ee
Mimi na wewe ni kitu kimojaaa
Haina maana ooh haina maana kunyimana
Mimi na wewe ni majiranii ee
Haina maana ee haina maana kunyimana
Salama karibu chai mpendwaNzuri tu mpendwa, vipi umeamkaje?
Haina maana kuishi kwenye Uzi mmoja halafu ananibania[emoji23]Mchoyo eti ngoja nikusaidie kuomba
Kd kd wetu eee nimekukosea nini ,kila unachoniomba king,mieninakupatia
kila ninachokuomba jiraniii eee,mwenzangu wanikataliaaa,
sasa nikueleweje jiraniii eeesasa nikueleweje KD ee
Mimi na wewe ni kitu kimojaaa
Haina maana ooh haina maana kunyimana
Mimi na wewe ni majiranii ee
Haina maana ee haina maana kunyimana
ππππ tulaleni sasa jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana...
Nyie watoto jueni ni usiku sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko tuko na baraka tu ya mvua wakati huu mgumu wa COVID-19.Umepotea sana mkuu, vipi 254 wanasema nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siumeona huu mnada?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana...
Nyie watoto jueni ni usiku sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah wapiHuwezi amini nipo usingizini huku nachat kwenye uzi wa like naomba nisikosee nikaweka picha yangu π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki vile akili sio yangu hapaππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah wapi
Ahsante sana MpendwaSalama karibu chai mpendwa
Mpendwa jaribisha kutupia hata kakidole halafu futa tujue kama upo active au una usingizi kweli. Ukute umechoka tuHaki vile akili sio yangu hapa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Bado lockdown inaendelea huko?Huko tuko na baraka tu ya mvua wakati huu mgumu wa COVID-19.
πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnada unanikosesha Mambo huu[emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikisema nipo kwenye usingizi mzito hamuamini huyu hapa HawaMpendwa jaribisha kutupia hata kakidole halafu futa tujue kama upo active au una usingizi kweli. Ukute umechoka tu
Sent using Jamii Forums mobile app