Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpendwa jaribisha kutupia hata kakidole halafu futa tujue kama upo active au una usingizi kweli. Ukute umechoka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli umelala.Nikisema nipo kwenye usingizi mzito hamuamini huyu hapa HawaView attachment 1417783
Ameen mpendwa nawe pia
πππ
Bado inaendelea na itaendelea hadi siku yenye hatujui ni gani.Bado lockdown inaendelea huko?
Hali ni mbaya sana mkuu, poleniBado inaendelea na itaendelea hadi siku yenye hatujui ni gani.
ππππ
Sasa ni kama tumezoea hii maneno ya lockdown na curfew.Hali ni mbaya sana mkuu, poleni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna ulipokosea Anko basi tu Swaini zangu
Vipi sasa mahitaji muhimu haswa food mnapata vipi au serikali inaprovide?Sasa ni kama tumezoea hii maneno ya lockdown na curfew.
Ameen InShaAllah π€²[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya usiku mwema Ankoo, tuamke salama kwa mapenzi ya Mungu [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Upande wa chakula ni mtu ajipange kivyake.. Serikali kitu inaweza kwa sasa ni kupea watu maji ya kunawa, kufunga barabara na kucharaza watu viboko wenye wanachelewa kuingia nyumbani.Vipi sasa mahitaji muhimu haswa food mnapata vipi au serikali inaprovide?
Heeh! Kumbe bado upo? π
Nasubiri ujueHeeh! Kumbe bado upo? [emoji3]
Inasikitisha sana mkuu, Serikali zetu hizi za kiafrika ni matatizo tu lakini tuombe Mungu atuondolee huu ugonjwa ili maisha yarudi kama zamaniUpande wa chakula ni mtu ajipange kivyake.. Serikali kitu inaweza kwa sasa ni kupea watu maji ya kunawa, kufunga barabara na kucharaza watu viboko wenye wanachelewa kuingia nyumbani.
ππππ
Naomba Basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah!