Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Odell Beckham Jr. - Bayern Munich
Staaa wa Cleveland Browns, Odell Beckham Jr utotoni kwake alicheza sana soka na shujaa wake alikuwa David Beckham, lakini utashangaa timu aliyokuwa akiisihabikia ni Bayern. Ni rafiki wa David Alaba na mwanaye mkubwa wa Beckham, huku mara kwa mara amekuwa akitembelea Ujerumani na kwenye mazoezi ya Bayern. Ni mpenzi mkubwa wa mchezo wa soka na ndio maana muda wake ambao hana mechi kwenye NFL amekuwa akicheza gemu za FIFA.