myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Itakuwa ya vyote....
Jana nimemtesa King Hadi akaamua kujiongeza kuondoka humuYaani wewe ni king'ang'anizi sijapata kuona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatengeneza mazingira ya kudaka chozi sio?
Tatizo Ni Hiki chombo Cha mawasilianoMuwekee na yako basi
Nimeamini sasa "mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio, utoto awaachie wazazi wake"Binti yako ameshakuwa mkali wa hizi kazi[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha aendelee kukata hadi asikie raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona uko na mwili mzuri tu?
Jirani Mimi sijauona....Mbona uko na mwili mzuri tu?
Mimi na wewee.......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heheeee!!
Kwamba unakuja kummaliza cha mdeko kabisa?[emoji23][emoji23]
Kwani haina voice recordTatizo Ni Hiki chombo Cha mawasiliano
Sina simu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Davie ana simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah!Hatimaye binti yangu umejivua rasmi uandaetini... Mweee!!!
Kata kwa stepu Anko, miti mingine inavunjikiamo ndani.
Mkokaa, carbamazepine, Davet mmemharibu mtoto hata kabla ya umri kutimia
Sent using Jamii Forums mobile app
AnkoooNimeamini sasa "mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio, utoto awaachie wazazi wake"
Stella kaniachia utoto wake
Sent using Jamii Forums mobile app
LolMbona uko na mwili mzuri tu?
Ule usiku wao[emoji23][emoji23][emoji23]na ustadh pia
😂😂😂😀😀 ni kd
Mimi sikuona picha.....