Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rais Museveni wa Uganda ametangaza siku nyingine 21 kuanzia kesho April 15 hadi April May 05,2020 za Watu kuendelea kubaki nyumbani na kutofanya shughuli ambazo zilipigwa marufuku hapo awali ili kuzuia kuenea kwa virusi vya corona>> “yote tuliyozuia yataendelea kutofanywa kwa sasa”
 
Binti wa Bondia Maarufu Duniani FloydMayweather Bi Iyanna Floyd(20) huenda akahukumiwa kifungo cha hadi miaka 99 Jela kwa kosa la kumchoma kisu mara mbili mpenzi wa Zamani wa Mwanaume wake anaitwa Lapattra baada ya kuwakuta wawili hao nyumbani kwa mwanaume wake NBA Youngboy
 
Wataalamu wanasema takwimu za corona zinazotolewa USA ni za chini ikilinganishwa na idadi halisi ya wanaofariki na corona majumbani, ila Mkurugenzi wa Kituo cha Kudhibiti Magonjwa na Kinga R. Redfield, amesema wanakaribia kufikia kilele cha maambukizi wiki hii.
•
Marekani imeendelea kuongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya vifo vinavyotokana na corona Duniani ambapo hadi mchana huu wamefariki Watu 23,702, USA inaongoza pia kwa visa, vimefikia 588,435, Italia ina vifo 20,515 na visa 159,628 huku Hispania ikiwa na vifo 18,056 na visa 172,541.
(via @dw_kiswahili )
 
Nani kaachwaa?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
93679471_1571322313048692_8513450490546183111_n.jpg
 
Back
Top Bottom