Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pande za wapi hizo mkuu, na hiyo busa inakuwa vipi kwamba imepigwa marufuku au inakuwaje hasa
Upande wa rift valley huku 2254. Hiyo pombe imepugwa marufuku na tena kwa wakati huu hakuna mwenye anafaa kuwa akiiuza vitu kama hizo.. ndiyo maana huyo mama alimwagiliwa pombe yake sababu hawezi pelekwa kotini.
 
Back
Top Bottom