myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Muda wa kumumunyaaaa
Upande wa rift valley huku 2254. Hiyo pombe imepugwa marufuku na tena kwa wakati huu hakuna mwenye anafaa kuwa akiiuza vitu kama hizo.. ndiyo maana huyo mama alimwagiliwa pombe yake sababu hawezi pelekwa kotini.
Hiyo nzuri sana.