Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
Habar muda huu waungwana ?
Kwema humu ndani
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Hatari kubwaKariakoo maisha yanaebdelea kama kawaidaView attachment 1419428
Hahahaha dah nao Bayan nawatamni balaa ...Sema corona tu ndo imekuja zingua ..ila wangechezea mkono wale..Kaka mkubwa umenenepa sana kipindi hiki.....
bora corona iendeleee kuwepo ili tusishuhudie adhabu ya bayern munichi
Sisi huwa tunapindua meza tu ..tushapindua dhidi ya SSC Napoli, Barca, PSG ivyo Bayan ni watoto wadogo sana..wangekaa mkono waleKaka mkubwa umenenepa sana kipindi hiki.....
bora corona iendeleee kuwepo ili tusishuhudie adhabu ya bayern munichi