capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
#umevunjaKiyaiHapoNimeipenda mellody[emoji91].....thank u [emoji23]
#nipoActive[emoji445]
π πNenda kaoge maji ya baridi usingizi utakata..
Tatizo location hu-tag, emu tag hata kwa code basi nimtume boda πππ
Kweli wamekuonea maana ulitukanwa tusi kali pale sikuona jamaa akipotea kwa ban.Hii comment ndio imenipa zawadi ya ban aiseee kwa mara ya kwanza toka nijiunge Jf ila wamenionea yule member hata yeye alinitukana
Ila ulijisikiaje baada kuisoma hio sms.mie mara ya kwanza karoho kaliruka paa. Ila siku hizi huwa naishia kucheka tuHii comment ndio imenipa zawadi ya ban aiseee kwa mara ya kwanza toka nijiunge Jf ila wamenionea yule member hata yeye alinitukana
Sikuamini nilikaa baada ya masaa nikajaribu tena nakutanana comment ileile aiseee π¬π¬Ila ulijisikiaje baada kuisoma hio sms.mie mara ya kwanza karoho kaliruka paa. Ila siku hizi huwa naishia kucheka tu
Ileje sehemu gani gari/boda haifiki?[emoji23] [emoji23]
tatizo ni huku Ileje ndani ndani hakuna hata njia ya kupita toyo mdogo wangu.! Sisi wenyewe tunakunja nguo juu ndiyo tuvuke mto.!
Washakuharibia CV tayari hivyo..!Hii comment ndio imenipa zawadi ya ban aiseee kwa mara ya kwanza toka nijiunge Jf ila wamenionea yule member hata yeye alinitukana
π πIla ulijisikiaje baada kuisoma hio sms.mie mara ya kwanza karoho kaliruka paa. Ila siku hizi huwa naishia kucheka tu