Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20200414_193129.jpg
 
Mdogo wangu, don't take life that serious, sijawahi fika mikoa ya nyanda za juu kusini hata namtania tu Depal..!

I've tagged you muda mrefu kwa ile siredi ya lile jina.!
Najua unamtania tu

Karibu Sana nyanda za juu kusini

Ngoja nikaangalie[emoji134]
App yangu hainipi notifications

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wizara ya Afya Zanzibar leo April 15,2020 imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya 6 wa corona na kufanya idadi ya wagonjwa Zanzibar kufikia 18 kutoka 12, wagonjwa watano ni Wanaume na mmoja Mwanamke, kwa idadi hii sasa Tanzania nzima ina jumla ya visa 59 kutoka visa 53 vilivyotangazwa na Waziri Mkuu Majaliwa jana.
 
Back
Top Bottom