Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wizara ya Afya Kenya imesema wameongezeka wagonjwa wengine wapya 8 kati ya sampuli 694 zilizopimwa jana na kufanya idadi ya visa vya corona Kenya kufikia 216, Wizara hiyo imesema imeanza kufanya kazi na timu ya Watu kutoka Microsoft na Google ili kusaidia kuwafuatilia wale ambao walikuwa au watakuwa karibu na wagonjwa corona.
#MillardAyoUPDATES
 
Wizara ya Afya Zanzibar leo April 15,2020 imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya 6 wa corona na kufanya idadi ya wagonjwa Zanzibar kufikia 18 kutoka 12, wagonjwa watano ni Wanaume na mmoja Mwanamke, kwa idadi hii sasa Tanzania nzima ina jumla ya visa 59 kutoka visa 53 vilivyotangazwa na Waziri Mkuu Majaliwa jana.

daah!!
 
Duh!! Mungu awe upande wetu🙏🙏 tuepukike
 
Najua unamtania tu

Karibu Sana nyanda za juu kusini

Ngoja nikaangalie[emoji134]
App yangu hainipi notifications

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wanaotumia app naona malalamiko ni hayo hayo, siye wa browser tunapeta tu.!

Wacha nitafute mchumba huko ili niwe nakuja kutembelea wakwe mara kwa mara..!!
 
Back
Top Bottom