Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,621
- 29,671
Mdogo wangu, don't take life that serious, sijawahi fika mikoa ya nyanda za juu kusini hata namtania tu Depal..!
Yaani yule member alinitukana ilibidi Numbisa aingilie kwa kumuuliza why ananitukana cha ajabu hajapewa ban.Washakuharibia CV tayari hivyo..!
Na ulivyo kapole ila watu wana maudhi sana..!
Wamenionea 😬😬😬Mpendwa ulishikwa sharubu naona 😀😀😀😀
Pole sana.
Binti mpole wetu anaongoza kwa ban.😂 😂
Ukiona hivyo ujue ushakuwa head girl.!
Pole Dada nyuzi za siasa unatakiwa kuongea point tu na kuwa mvumilivu. Sasa kama upo against lockdown uchune tuHii comment ndio imenipa zawadi ya ban aiseee kwa mara ya kwanza toka nijiunge Jf ila wamenionea yule member hata yeye alinitukana
Nadhani watu huingia humu tayari wako stressed, wanachofanya ni kutafuta tu wa kumpumzikia.Yaani yule member alinitukana ilibidi Numbisa aingilie kwa kumuuliza why ananitukana cha ajabu hajapewa ban.
Haha.!Binti mpole wetu anaongoza kwa ban.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah😂 😂
Ukiona hivyo ujue ushakuwa head girl.!
Kweli kabisaNadhani watu huingia humu tayari wako stressed, wanachofanya ni kutafuta tu wa kumpumzikia.
Sawa mpendwaPole Dada nyuzi za siasa unatakiwa kuongea point tu na kuwa mvumilivu. Sasa kama upo against lockdown uchune tu
TupoWana jf mupoooo
Huo uoga bana,tena vuka boda kama mie hadi kule kenya forum ndani ya JF nipooSawa mpendwa
Najua unamtania tuMdogo wangu, don't take life that serious, sijawahi fika mikoa ya nyanda za juu kusini hata namtania tu Depal..!
I've tagged you muda mrefu kwa ile siredi ya lile jina.!
Pole sana daahSikuamini nilikaa baada ya masaa nikajaribu tena nakutanana comment ileile aiseee 😬😬
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole Dada nyuzi za siasa unatakiwa kuongea point tu na kuwa mvumilivu. Sasa kama upo against lockdown uchune tu