carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Wizara ya Afya Zanzibar leo April 15,2020 imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya 6 wa corona na kufanya idadi ya wagonjwa Zanzibar kufikia 18 kutoka 12, wagonjwa watano ni Wanaume na mmoja Mwanamke, kwa idadi hii sasa Tanzania nzima ina jumla ya visa 59 kutoka visa 53 vilivyotangazwa na Waziri Mkuu Majaliwa jana.
daah!!Wizara ya Afya Kenya imesema wameongezeka wagonjwa wengine wapya 8 kati ya sampuli 694 zilizopimwa jana na kufanya idadi ya visa vya corona Kenya kufikia 216, Wizara hiyo imesema imeanza kufanya kazi na timu ya Watu kutoka Microsoft na Google ili kusaidia kuwafuatilia wale ambao walikuwa au watakuwa karibu na wagonjwa corona.
#MillardAyoUPDATES
Duh!! Mungu awe upande wetuππ tuepukikeWizara ya Afya Zanzibar leo April 15,2020 imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya 6 wa corona na kufanya idadi ya wagonjwa Zanzibar kufikia 18 kutoka 12, wagonjwa watano ni Wanaume na mmoja Mwanamke, kwa idadi hii sasa Tanzania nzima ina jumla ya visa 59 kutoka visa 53 vilivyotangazwa na Waziri Mkuu Majaliwa jana.
Wengi wanaotumia app naona malalamiko ni hayo hayo, siye wa browser tunapeta tu.!Najua unamtania tu
Karibu Sana nyanda za juu kusini
Ngoja nikaangalie[emoji134]
App yangu hainipi notifications
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwako pia mpendwa.!Mchana mwema kwetu wooote
HahahahaaWengi wanaotumia app naona malalamiko ni hayo hayo, siye wa browser tunapeta tu.!
Wacha nitafute mchumba huko ili niwe nakuja kutembelea wakwe mara kwa mara..!!