capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Umenikumbusha mbali saana! Nimemkosa sana!Wapi Cookie Smokey
Rafiki yako Capitalpool kakukumbuka huku
Umenikumbusha mbali saana! Nimemkosa sana!Wapi Cookie Smokey
Rafiki yako Capitalpool kakukumbuka huku
Leo nimejikuta namkumbuka tu, sijui kapotelea wapi huyu mtoto wa KinyamweziUmenikumbusha mbali saana! Nimemkosa sana!
Ukaona ututelekeze[emoji16]Hahah! Siku mbili hizi najikuta nasinzia tu bro [emoji3]
Mambo ni vipiNairobi nasikia marashi yako
Hahah! Uzee unasumbua sasa hivi nashindwa kushindana na usingizi kabisa...
Labda pande zile ..Leo nimejikuta namkumbuka tu, sijui kapotelea wapi huyu mtoto wa Kinyamwezi
Ukamtelekeza Hadi bro wako.Hahah! Uzee unasumbua sasa hivi nashindwa kushindana na usingizi kabisa...
Zamani nikiwa kwenye ubora wangu hapa nilikuwa nakesha mpaka asubuhi napost tu mwenyewe mpaka asubuhi watu wananikuta tena, binti mpole alikuwa ananihurumia eti "Davet ulale basi kidogo upumzike"
Mambo ni cool, naona hali ya hewa safi kabisaMambo ni vipi
Kwanini Coco?KgY hizi zako leo mbona haziko sawa,
Hahah!