Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo
Labda wale wapenda shule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa kweli baba majaliwa abarikiwe Sana

Mungu ibariki tz
Mungu mbariki waziri mkuu

Private wapambane na Hali zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulala ni pale mwili unapokuwa hauna mawasiliano ya nje ukiwa umelala pasipo fahamu na mwili kujikita na mawasiliano ya ndani ya mwili wakati kupumzika ni mwili unakuwa macho na katika fahamu lakini viungo vinakuwa tuli pasipo kujishughulisha.
 
Kwa kawaida kulala huwa ni baada ya masaa mawili tangu kula mlo wa mwisho wa usiku. Itumie sababu ya kukaa ndani kipindi hiki cha corona kwa kumpumzika ukiwa ndani. Mazoezi ni jambo la mwisho vizuri kwa yule anayefanya mazoezi kwa afya kuyafanya kwa siku kwa muda wa dakika 30-60 kwa siku na katika siku tano za wiki.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuone ulivyoshtukaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20200416-120207.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano vile vitu vyote anavyokatazwa kutumia na mtaalam wa lishe za michezo ikiwamo ulevi, matumizi ya tumbaku, anasa na ulaji holela wa vya kula mtaani ikiwamo soda, chipsi, nyama choma na vyakula vya migahawa ya magharibi na vile vya kusindika au supamaketi.
 
How can someone stay this calm.!? Davet umewezaje kuwa mvumilivu na ukaondoka ukicheka kama mtu wa chini ya mwembe?? 😂 😂

Nifundishe huo uvumilivu tafadhali sana.!
Hahah! Eti mtu wa chini ya Mwembe 😂

Sema siunajua kwenye wengi kuna mengi na humu tunakutana watu tumetoka jamii tofauti tofauti kwahiyo huwezi kujua labda mwenzio anaenjoy kile anachokifanya kwahiyo anakuvuta na wewe uje kwenye mchezo wake.....

Zifahamu ‘fixed accounts’ - JamiiForums
Kama humu kuna boya katoka huko atokako tu ata humjui shida yake kukupanikisha
 
Back
Top Bottom