Ndio
Ndio
Mungu Baba[emoji26]Wizara ya Afya Zanzibar imesema kuna ongezeko la wagonjwa 6 wa corona na kufanya idadi ya wagonjwa Zanzibar kufikia 24, kutoka 18, wagonjwa wote ni Raia wa Tanzania, Wanaume watano na Mwanamke mmoja na hawana historia ya kusafiri nje ya Nchi siku za karibuni, kwa idadi hii sasa Tanzania ina visa 94 kutoka visa 88 vilivyotangazwa na Waziri Ummy Mwalimu jana.
JizaziWewe mtoto,hupendi kutoka mkavu?!!!
Mbombo jilipo...
Kulowana sio kuzuri sana japo kuna raha yake.
Maji mengi ni mazuri kunawia mikono...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe ostaz Ni shahidi
Ametuacha hapa Jana Kama utani vile
Aisee[emoji26]
Asante dogo
Kwani ye mwenyewe kasema anataka kumumzika?
Yangu?
Aisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ngoja yule Mtanashati apite pande hizi
Aisee!! jina lako likitajwa umefika!!Aisee
Maji husaidia kuondoa ukavu Ankoo.Jizazi
Anko maji yametokea wapi[emoji23]
Mbombo ngafu naloli
Ughonile ankoo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!carbamazepine challenge nyingine zitupitege tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1420836
Aisee..I'm angry but I still love you