moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] embu niache
Kaka Coco nimetoka mbio nikidhani ndio unajitupia hivyo[emoji134]
Hivi hapa hakuna mwal wa kiswahili? Hilo neno uwa linachanganya sana....
Uzurulaji
Uzururaji
Uzuluraji
Which is which? Mostly naona likiandikwa uzuluraji, wengine uzururaji(kuzurura)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari.
Kuna mambo inabidi uwaachie wenye miili midogo wafanye
Me bado najichanganya, vipi wewe?
Me bado najichanganya, vipi wewe?
Uzururaji
Yaani ile emoj ndo imechachua kila kitu[emoji23][emoji23]
Sukari ni mbaya kwa afya...yan hawa viongozi wetu eti ndio wamejua sahivi sukari ni mbaya kwa afya baada ya kupanda bei ghafla....
Sukari ni mbaya kwa afya...yan hawa viongozi wetu eti ndio wamejua sahivi sukari ni mbaya kwa afya baada ya kupanda bei ghafla....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afanya kama anacheza Puzzle
Asante kaka Coco kwa kunionyesha hiyo legal tender
Niliwahi Soma miaka mingi iliyopita ila sikujua hata inafananaje
Haya Sasa twende Kwenye picha yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana
Sikumbuki mara ya mwisho nilinunua sukari lini
Kwahiyo Mimi nianze kucheza puzzle Na viungo vyako wakati unaweza kunipa tu full Mambo yakaisha[emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha zaidi 😀 😀Huko Uganda inadaiwa vizuizi vya nyumbani vinapelekea watu kungonoka kama kuku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mo nakusalimia.
Ndio