Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji120][emoji120][emoji120]nimependa sana ujumbe wako.
Mwanaume ni lazima ubaki na roho yako ya kiume, usitikisike, usisumbuke na vijimaneno kama vya hapa jf.
Uanaume hasa ni vile unavyoweza kuufanya moyo wako uwe na subira kwa kila gumu lililo mbele yako
Aisee!! jina lako likitajwa umefika!!
Achana na hofu watu wanakuongelea nini, ishi kwa uhuru utakuwa na amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji19][emoji19][emoji30][emoji30][emoji30]
tapatalk_1571748167872.jpeg
 
Back
Top Bottom