myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes na thanks ni kitu kimoja
Wenyewe watakwambia hakuna kipya chini ya jua.
Fine....likes.....thanks...I hope your day was fine
[emoji120][emoji120]tujengane panapo wezekana[emoji120][emoji120][emoji120]nimependa sana ujumbe wako.
Mwanaume ni lazima ubaki na roho yako ya kiume, usitikisike, usisumbuke na vijimaneno kama vya hapa jf.
Uanaume hasa ni vile unavyoweza kuufanya moyo wako uwe na subira kwa kila gumu lililo mbele yako
Halafu mwingine akifanya hivyo wanapovuka balaaWenyewe watakwambia hakuna kipya chini ya jua.
Wabongo hatuna creativity
Wewe ndiye uliyenitupa
Salama salimini bro.Mi shwari Bradha, kwema huko
Nini shida Liver Owner?[emoji19][emoji19][emoji30][emoji30][emoji30]View attachment 1420935
Mtoto hasa wa kike hakosei kwa mzazi, nisamehe bure tu.Wewe ndiye uliyenitupa
Hunitembelei kabisa Hadi nawaza pengine nimekukosea kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio shida ya shift za usiku, mchana hujui ufanye nini, ukisema upige glass moja, umeshaiharibu siku... Sikupi pole[emoji19][emoji19][emoji30][emoji30][emoji30]View attachment 1420935
Kuna nini tena?Naona huu Uzi umeanza kuzirwa
Nimeipenda hiyo story
Siku ukijaribu kuanza na moja ya ukweli basi ndio yatakuwa maisha yakoNimeipenda hiyo story
Ila maskini Mimi kuangalia movie kulishanishinda
Sent using Jamii Forums mobile app
NitajaribuSiku ukijaribu kuanza na moja ya ukweli basi ndio yatakuwa maisha yako
Mrejesho sasa muhimu 😀