Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20200416_201218.jpg

Dunia inapitia kipindi kigumu kuwahi kutokea.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi ninaweza nikakaa hapa na mtu anayeangalia movie na ikaanza Hadi ikaisha nisiangalie Wala kusikiliza
Niliwahi angalia baadhi ya sehemu chache movie fulani hivi ya kizungu inachezwa ndani ya ndege ilikuwa mzimu anawatokea watu kwenye ndege
Kidogo ilinisjawishi nikachungulia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom