Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huwa anapiga sana vifuti

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alikuwa na mateke ya nguvu hatari
Unakuta amemuotea nalo adui moja ,anadondoka kengele inapigwa Mara 3 hainuki ndo anakuwa keshashinda hivyo


Basi kipindi hicho ilikuwa akicheza cenna,unashangaa amepigwa wee..anadondoka kengele inapigwa Mara ya kwanza ya pili anainuka..tukawa tunafurahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom