myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Safi kabisa...wewe je
Safi kabisa...wewe je
Hapana Sio Cm punkUnamuongelea nani huyu Jeff Hardy au unamuongelea CM Punk View attachment 1421121
Sawa jirani
Itakua ni ray mysterioHapana Sio Cm punk
Cm punk yeye alikuwa fundi wa mateke ndani ya uwanja..anatandika teke Hadi anamzima mtu
Namuongelea huyu hapa chiniView attachment 1421133
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo hapa, yeye alipotea pia dunno whyWapi Cookie Smokey
Rafiki yako Capitalpool kakukumbuka huku
Miss u too handsomeUmenikumbusha mbali saana! Nimemkosa sana!
Ewaaa huyohuyoItakua ni ray mysterio
Yule jamaa kachongoka kiuno ni muhindi,nilianzaga kumfananisha na tarzan
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Itakua ni ray mysterio
Yule jamaa kachongoka kiuno ni muhindi,nilianzaga kumfananisha na tarzan
✔✔Itakua ni ray mysterio
Yule jamaa kachongoka kiuno ni muhindi,nilianzaga kumfananisha na tarzan
Lol[emoji26][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Alirudi kwao Mexico, kaingia ulingoni akaua mtu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba yao Rikish, baba mdogo UmagaYokozuma na Fatu, kaka yao Joseph Fatu, mjomba yao Romans,binamu yao The Rock na shemeji yao Naomi wote wanavuma sana ukiachana na babu yao baba Romans na mjomba wao Dwayne Johnson senior. Ni uzao wa wana mieleka kweli kweliYaa Usos wako vizuri
Baba yao Rikish, baba mdogo UmagaYokozuma na Fatu, kaka yao Joseph Fatu, mjomba yao Romans,binamu yao The Rock na shemeji yao Naomi wote wanavuma sana ukiachana na babu yao baba Romans na mjomba wao Dwayne Johnson senior. Ni uzao wa wana mieleka kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Sio Cm punk
Cm punk yeye alikuwa fundi wa mateke ndani ya uwanja..anatandika teke Hadi anamzima mtu
Namuongelea huyu hapa chiniView attachment 1421133
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Lol[emoji26]
Aliwahi toa roho ya mtu??
Ila kwa kile kiminyo Cha kichwa walahi unaweza kufa unajiona
Nasikia jamaa alishawahi pasua Mpira kwa kuminya tu vile.
Udhaifu wake kilikuwa kile kiuno...wakimtungua tu kiuno ujanja wote unakwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji119][emoji119][emoji119]Baba yao Rikish, baba mdogo UmagaYokozuma na Fatu, kaka yao Joseph Fatu, mjomba yao Romans,binamu yao The Rock na shemeji yao Naomi wote wanavuma sana ukiachana na babu yao baba Romans na mjomba wao Dwayne Johnson senior. Ni uzao wa wana mieleka kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app