Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Jirani 😅😅😅Aisee..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kijiji gani hicho? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] madhara ya kukaa mjini haya.
Sukari kamzidi hata mchele grade one
Ukiipata isave
😒😒Everything is fair in love and war 🤔
Woiii mwambie arudi akaongeze hata 2 asee. Mimi yamenikuta juzi hayo nimeenda kwa Mangi nikakuta 3200 nikaiona kubwa nikaacha kwa kuwa sukari ilikuwepo kiasi leo nafata nakuta elfu 4[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti inazidi mchele grade A[emoji119]
Mbeya mtaa wa jirani elfu 3..sister alikuwa huko amerudi amenunua namuuliza sh ngapi akajibu elfu tatu,halafu Sasa akili zake zimemtuma anunue kilo Moja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Anajua kabisa Kama zimepanda BeiWoiii mwambie arudi akaongeze hata 2 asee. Mimi yamenikuta juzi hayo nimeenda kwa Mangi nikakuta 3200 nikaiona kubwa nikaacha kwa kuwa sukari ilikuwepo kiasi leo nafata nakuta elfu 4
Sasa angetoa tamko hizi siku 3 ziwe public holiday
Wakubwa wamesema ni mbaya....kwa hii bei hata mimi nitaiona mbaya kwa afya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chai inanenepesha? 😂😂😂😂 nitaongeza juhudi sukari ikishukaMi nilianzaga kunywa chai tangu zamani ikiuzwa sh 50, wala sijaacha.
[emoji23][emoji23][emoji23] kunywa chai unenepe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha labda Ramadhani ikiishaAnajua kabisa Kama zimepanda Bei
Eti anadhani itashuka Bei[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
UmagaYaani alikuwa akianza kupiga mtu haachi...kufumba na kufumbua taa zimezimwa na kuwashwa amenyonga mtu
Alikuwepo mwingine alikuwa anaitwa Umaga.. Yule jamaa anaweza kumtoa mtu roho mnashuhudia.. yaani alikuwa haachi kupiga hata Kama kengele ya ushindi imepulizwa
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀Hahaha we dogo muhuni sana
Anawahi.....
Hahaha
Mpaka lockdown yao iishe si patakuwa na ongezeko la mimba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu ngoja siku nitaenda kuwachokoza...ila kule ban nje nje