Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Yes dear 😩Bei ya sukari??[emoji849][emoji849]
Yes dear 😩Bei ya sukari??[emoji849][emoji849]
😂😂😂😂😂 kweli bana chai sio lazima...sasa umefika ule muda wa kula mihogo/samosa/viazi na maji, kwanza sukari sio nzuri kwa afya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Hata hivyo chai si lazima kunywa (maneno ya mkosaji)
Bora waninyonge kuliko kunywa chai ya asali
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi hiyo inayogongwagongwa hapo inalewesha?Wewe tulia hiyo haikuhusu usije kufa kwa tumbo kujaa gesi bure [emoji23]
Ni kweli sukari si nzuri kwa afya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli bana chai sio lazima...sasa umefika ule muda wa kula mihogo/samosa/viazi na maji, kwanza sukari sio nzuri kwa afya.
Haha chai ya asali ina watu wake wengine wanawekaga mpaka na limao. Dah
Sasa angetoa tamko hizi siku 3 ziwe public holiday
😂😂😂😂😂😂😂Ni kweli sukari si nzuri kwa afya
Hizi bei zitanisaidia sana kunywa maji maana nilikuwa mvivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu niache huko😀😀😀Hahah kisw kigumu...emu, ebu, embu, which is which?
Ulifikiri ni Milkshake hiyo eh? 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi hiyo inayogongwagongwa hapo inalewesha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakubwa wamesema ni mbaya....kwa hii bei hata mimi nitaiona mbaya kwa afya 😂😂😂😂Sukari ni mbaya kwa mgonjwa wa kisukari lakini aliye mzima pia anahitaji sukari mwilini mwake
Yaani alikuwa akianza kupiga mtu haachi...kufumba na kufumbua taa zimezimwa na kuwashwa amenyonga mtuHuyo ni Legend aliyeacha alama kubwa kwenye Mieleka View attachment 1421077
Najua Ni milkshake ninayokunywa hapa.Ulifikiri ni Milkshake hiyo eh? [emoji3]
Emu lala huko. Ila "emu" ina sound vizuri TicherHebu niache huko😀😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakubwa wamesema ni mbaya....kwa hii bei hata mimi nitaiona mbaya kwa afya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mr McMahom
HahahaHuko Uganda inadaiwa vizuizi vya nyumbani vinapelekea watu kungonoka kama kuku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijiji gani hicho? 😂😂😂😂 madhara ya kukaa mjini haya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni Nani nipingane na wataalam??
Huku kwetu kilo elfu tatu
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂Mwalimu wa Kiswahili yupo ila huwa haingii uzi huu.
Nenda jukwaa la siasa kosea kuandika uone atakavyokushukia[emoji23][emoji23]
Sent