Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Nakumbuka Umaga alikufaNi kweli hata hivyo una kumbukumbu nzuri.
Maana hata Umaga alifariki 2009
Jamaa alikuwa na mateke ya nguvu hatari
Karibu mkuuSjui mmeanzia wap ila mm naendekea hapaa
Betrayal is the choice not behavior[emoji682]
Nimeangalia hii video inasikitisha sana huwa najiuliza kuna dawa huwa wanatumia kabla Ya kuingia ulingoni maana si kwa kupigana mateke vile.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Video hiyo hapo.Unaweza ukaangalia full match kwa ku search
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani huu mchezo ni hatariNimeangalia hii video inasikitisha sana huwa najiuliza kuna dawa huwa wanatumia kabla Ya kuingia ulingoni maana si kwa kupigana mateke vile.