Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hehehehehhe cheiiiiView attachment 1421719
😂😂😂😂Hapana, mi sipendagi matangazo
Inatia hofu.Hatari sana
Hujambo
Hatari sana...breakingnews: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania yaongezeka nakufikia 147, baada ya wengine wapya 53 wakutwa na Corona na wote ni watanzania.
Yesu wangu[emoji27]#CORONAVIRUS-TANZANIA: IDADI YA WAATHIRIKA YAFIKIA 147
- Ni baada ya Wagonjwa wapya 53 kukutwa na #COVID19
- Wagonjwa wote ni watanzania ambapo 38 wanatoka Dar; 10 Zanzibar; Kilimanjaro 1; Mwanza 1; Pwani 1; Lindi 1 na Kagera 1