Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😴😴😴
1587132111291.jpg
 
#CORONAVIRUS-TANZANIA: IDADI YA WAATHIRIKA YAFIKIA 147

- Ni baada ya Wagonjwa wapya 53 kukutwa na #COVID19

- Wagonjwa wote ni watanzania ambapo 38 wanatoka Dar; 10 Zanzibar; Kilimanjaro 1; Mwanza 1; Pwani 1; Lindi 1 na Kagera 1
Unakumbeka juzi tulisema namba za +254 lazima tuziguse? Naona vile tunawakimbilia kwa kasi
 
Back
Top Bottom