Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Straika wa Tottenham Hotspur, Harry Kane, ambaye aliripotiwa kwamba bosi wa timu hiyo Daniel Levy yupo tayari kuwauzia Man United kama watakwenda na Pauni 200 milioni, kwa mujibu wa Transfermarkt, fowadi huyo Mwingereza thamani yake sokoni kwa sasa ni Euro 120 milioni, sawa na anavyothaminishwa staa wa Liverpool, Mohamed Salah na mshambuliaji mwenzake huko Anfield, Sadio Mane, naye akiripotiwa kuwa na thamani ya Euro 120 milioni.
 
Supastaa wa Paris Saint-Germain, Neymar, ambaye ali-naswa kwa Euro 222 milioni aliposajiliwa kutoka Barcelona, thamani yake kwa sasa sokoni inatajwa kuwa ni Euro 128 mil-ioni, sawa na anavyo-thaminishwa staa wa Man City, Raheem Sterling kuwa na kiwango hicho cha thamani ya Euro 128 milioni sokoni kwa sasa.
 
Fowadi Mfaransa, Kylian Mbappe anayekipiga PSG, ndiye pekee ambaye thamani yake imebaki juu, ikikaribia Euro 200 milioni licha ya kutokea kwa janga hilo la virusi vya corona, ambapo kwa mu-jibu wa Trans-fer-markt, tham-ani ya mche-zaji huyo soko-ni kwa sasa ni Euro 180 milioni.
 
Davet
Mkokaa

Apo vip[emoji847]
20200415_232925.jpeg
 
Wachezaji wa Arsenal wameripotiwa kuchukia zaidi baada ya kuambiwa makato ya mishahara yao yatakuwa ya mwendelezo kuliko hata wanachotaka kukubaliana kwa sasa kama msimu utakatizwa na kushindwa kumalizika kutokana na janga la maambukizi ya virusi vya corona lililoshika kasi duniani kwa sasa. Mabosi wa Ligi Kuu England bado hawafahamu kama ligi itaendelea kutokana na janga hilo.
 
Back
Top Bottom