Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mabosi hao wa Arsenal wapo tayari kushusha makato hayo hadi asilimia 7.5 kama wachezaji wataisaidia timu kufuzu kucheza michuano ya Ulaya msimu ujao.
Sipati picha vile unakunywa huku umeshika na mikono yote miwili 😂
😂 😂 😂 😂Hata hivyo, Barcelona imesema kwamba haita-jali kuhusu kipengele cha kwenye mkataba wa mchezaji huyo na kama Messi atataka ku-on-doka mwisho wa msimu huu basi watahitaji kulipwa mkwanja usiopungua Pauni 100 milioni
Nasikia jana usiku kwenye ma-bar watu wamechezea sana mboko hapa mjini
[emoji847][emoji847]Sipati picha vile unakunywa huku umeshika na mikono yote miwili [emoji23]
#saved
Hata mimi nimesikia.
Naona watu wanaanza kulazimishwa kuepuka mikusanyiko kwenye mabaa.
😂😂😂😂 hatari sana
Watu nao wanashindwa kujiepusha wenyewe hadi waje kuchapwa fimbo na maaskari kweli [emoji23]
Mungu atupe jioni njema