Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Sipati picha vile unakunywa huku umeshika na mikono yote miwili π
π π π πHata hivyo, Barcelona imesema kwamba haita-jali kuhusu kipengele cha kwenye mkataba wa mchezaji huyo na kama Messi atataka ku-on-doka mwisho wa msimu huu basi watahitaji kulipwa mkwanja usiopungua Pauni 100 milioni
πππ
Nasikia jana usiku kwenye ma-bar watu wamechezea sana mboko hapa mjini
[emoji847][emoji847]Sipati picha vile unakunywa huku umeshika na mikono yote miwili [emoji23]
#saved
Hata mimi nimesikia.
Naona watu wanaanza kulazimishwa kuepuka mikusanyiko kwenye mabaa.
ππππ hatari sana
Watu nao wanashindwa kujiepusha wenyewe hadi waje kuchapwa fimbo na maaskari kweli [emoji23]
Mungu atupe jioni njema