myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Uzembe wa watu wachache isijekuwa hasara kwa watu wengi sasa wacha wachezee tu bakora.Wengi wanauchukulia poa huo ugonjwa bro.
Usione unavyokwepa kwepa kifo ukadhani wote wanakiogopa.
Kuna watu wapo tayari kwa lolote wakati wowote.
Hao wapo tayari kula bia popote bila woga
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama Boss wangu za wikendi....
Ndiyo imeanza hivi, tupo ndani tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana
Inawezekana mifumo ya simu ikawa ni tofauti sasa
Mimi ona inavyonileteaInawezekana mifumo ya simu ikawa ni tofauti sasa
VizuriBasi nije