MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,137
- 3,952
Dogo umeanza kupata notifications kwa app yako ??
Nimeona password hapa
SipatiDogo umeanza kupata notifications kwa app yako ??
utakatika saa ngapi?Chaji simu yako umeme utakatika
Unatumia browser gani?Sipati
Natamani nihamie kwenye browser
Browser yenyewe naona nyota tu[emoji37]
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanasema wameanza kupata, hata mimi ndiyo nimeanza kupata leo.Sipati
Natamani nihamie kwenye browser
Browser yenyewe naona nyota tu[emoji37]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Huku sijui umeenda wapi tu 😀
Mimi bado tu sipati hizo notificationsWatu wanasema wameanza kupata, hata mimi ndiyo nimeanza kupata leo.
Browser mie nilishashindwa kwa kweli
Umenambia nibonyeze hicho kidude Cha attachmentDuh! Huku sijui umeenda wapi tu [emoji3]
hahahahahAwesome. Bride of water god kuna ka handsome
Hio sijawahi kuitumia. Muulize KD anatumia ipi. Mie natumia uc browser japo huwa inazingua siku hizi
OkeeHio sijawahi kuitumia. Muulize KD anatumia ipi. Mie natumia uc browser japo huwa inazingua siku hizi
Hii ukicheza ilhali wanywa lazima umwage 😀😀
[emoji3][emoji3] itabidi kushika Pad kama roboti, TehHii ukicheza ilhali wanywa lazima umwage [emoji3][emoji3]