Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Naomba hii ngomaLove Is Wicked
Brick & Lace
[emoji119][emoji119]
Duuh aise poleMimi bado tu sipati hizo notifications
Kwanza browser nimehangaika kulog in
Mara Inaniletea sijui account gani ya mtu..sijui nakosea[emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi kabisa....
E ya Voda iko vizuri
Mara nyingi inasoma H+,nikikaa hapa nilipokaa natumia E
Airtel nilishaibwaga..niliona napitwa na picha hapahapa picha naisubiri ifunguke haifunguki Hadi inafutwa naona[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Si popular Sana japo Lina watu wengi tu sana
Mbeya Kuna makabila Kama 6
Nyakyusa
Safwa
Ndali
Nyiha
Lambya
Malila
Kwa Sasa sisi hatupo mbeya,tupo mkoa mpya wa songwe baada ya mkoa wetu kugawanywa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji818][emoji818]
Wapi Mzee wa fenesi
Yah hao kweli sijawaweka ..nadhani kwa sababu hizo sehemu za rujewa sijawahi ishi hukoWamalila nimeshawajua, ila hukuwaweka hapo wasangu wa usangu Rujewa, hukuwaweka wale wengine wa Chimala
Sent using Jamii Forums mobile app
Pipii kijiti....