Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5

Happy weekend fellas[emoji847][emoji847]
IMG_20200330_170305_922.jpg
 
Nashindwa kuelewa kwanini walikuwa wanaficha tangu mwanzo.
Watu wakisema tisiaraei hawa hapa uko na kesi ya kujibu polisi.

Kwa kauli hii naona akili zimeanza kuwakaa sawa
Mategemeo makubwa dhidi ya mbinu zao za mapambano na hii kitu, naona waliamini zitafanikiwa kwa urahisi pia kutaja namba kubwa kubwa kungezua taharuki na hofu kubwa kwa Wanannchi. Nahisi tu labda
 
Back
Top Bottom