carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Bigger love-john legend
Wacha 😀Coffee & sex in the mornin'
Breakfast in bed, got me moanin'
(Moanin', oh-ooh-oh-oh)
Before you go to work
I need you to go to work
♬♬♬[emoji126][emoji126][emoji126]
Ngoja tukazie maombi tu maana hakuna namna tenaKuna kauli ambazo zimeanza kutoka zinaashiria kuwa kule ambapo hatutaki kufika tunaweza kufika.
Hali ngumu sana
Eti anasema bado ni mtoto 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba hujakua sio?
YawezekanaMategemeo makubwa dhidi ya mbinu zao za mapambano na hii kitu, naona waliamini zitafanikiwa kwa urahisi pia kutaja namba kubwa kubwa kungezua taharuki na hofu kubwa kwa Wanannchi. Nahisi tu labda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Wacha [emoji3]
Naona mood
[emoji23][emoji23][emoji23]Eti anasema bado ni mtoto [emoji3]
😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hivi matibabu gani wanatoa mpaka mtu anapona? Au wanakupa tu hospital ufanye ndio uwanja wa mapambano kati ya Seli hai nyeupe na Virusi 😀Yawezekana
Tatizo wananchi walikuwa wanajua movie na uhalisia havifanani.
Naona sasa wameshashtuka.
Ngoja tuone tunaendaje na hii kasi ya maambukizi na matibabu ya wagonjwa
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi ni dharau bhana
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi ni dharau bhana
Eti anasema bado ni mtoto [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba hujakua sio?
RadoSt. Anne nimeona kuna sehemu umesema niachwe nilale ili nikue [emoji23]