carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hii movie ina mixed feelings sanaHii movie una feel happy and sad at the same time
Ukweli lazima usemwe maana namba zimekua nyingi sasa ni ngumu kuficha tena
Naona taratibu taratibu tunakuja mpaka tutafika kule ambapo hatupataki....Wale walipa kodi sasa ni muda wa kuhamishia bar nyumbani ama mnasemaje?[emoji23][emoji23]
Baa na vilabu kufungwa saa tatu usiku; tuko serious? - JamiiForums
Nashindwa kuelewa kwanini walikuwa wanaficha tangu mwanzo.Ukweli lazima usemwe maana namba zimekua nyingi sasa ni ngumu kuficha tena
Kuna kauli ambazo zimeanza kutoka zinaashiria kuwa kule ambapo hatutaki kufika tunaweza kufika.Naona taratibu taratibu tunakuja mpaka tutafika kule ambapo hatupataki....
#ifyouknow
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]St. Anne nimeona kuna sehemu umesema niachwe nilale ili nikue [emoji23]
Mategemeo makubwa dhidi ya mbinu zao za mapambano na hii kitu, naona waliamini zitafanikiwa kwa urahisi pia kutaja namba kubwa kubwa kungezua taharuki na hofu kubwa kwa Wanannchi. Nahisi tu labdaNashindwa kuelewa kwanini walikuwa wanaficha tangu mwanzo.
Watu wakisema tisiaraei hawa hapa uko na kesi ya kujibu polisi.
Kwa kauli hii naona akili zimeanza kuwakaa sawa