Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mategemeo makubwa dhidi ya mbinu zao za mapambano na hii kitu, naona waliamini zitafanikiwa kwa urahisi pia kutaja namba kubwa kubwa kungezua taharuki na hofu kubwa kwa Wanannchi. Nahisi tu labda
Yawezekana
Tatizo wananchi walikuwa wanajua movie na uhalisia havifanani.

Naona sasa wameshashtuka.

Ngoja tuone tunaendaje na hii kasi ya maambukizi na matibabu ya wagonjwa
 
Yawezekana
Tatizo wananchi walikuwa wanajua movie na uhalisia havifanani.

Naona sasa wameshashtuka.

Ngoja tuone tunaendaje na hii kasi ya maambukizi na matibabu ya wagonjwa
Hivi matibabu gani wanatoa mpaka mtu anapona? Au wanakupa tu hospital ufanye ndio uwanja wa mapambano kati ya Seli hai nyeupe na Virusi 😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi ni dharau bhana
Eti anasema bado ni mtoto [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba hujakua sio?
St. Anne nimeona kuna sehemu umesema niachwe nilale ili nikue [emoji23]
Rado
Usiulize

Fa Ay
Ha ha ha...
[emoji443]

Naimba tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…