Kwa wale wazazi na walezi mlioamua kutumia kipindi hiki kupumzika pia tumieni fursa hiyo kuwafundisha watoto maadili ya maisha na pia watumie nafasi hii kusoma sana vitabu
Enyi ndugu zangu tunaotumia muda wote wa siku kuchezea simu kuperuzi mitandao mbalimbali bila hata kutumia muda mchache kumcha Mola wetu, badilikeni sasa