Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi matibabu gani wanatoa mpaka mtu anapona? Au wanakupa tu hospital ufanye ndio uwanja wa mapambano kati ya Seli hai nyeupe na Virusi [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti wanakupa hospital ufanye ndio uwanja wa mapambano.

Wanakutibu na unachokuja nacho,kama ni mafua,kikohozi,homa na dalili nyingine.
Si unajua huu ugonjwa kama ukimwi tu hauna tiba?
 
“Anayekwenda eneo la manunuzi yotote lazima awe amevaa barakoa (mask), ununue,ukate leso, ukate kanga lazima uwe umevaa, pia kuanzia Jumatatu biashara zote zifanyike katika mfumo wa ‘take away’ ukienda sehemu nunua ondoka, lazima pia kuwe na hatua mita mbili katika msongamano wa Watu”-Paul Makonda @baba_keagan, Mkuu wa Mkoa wa DSM
#MillardAyoCORONATZ
 
Siku ya pili kuliombea taifa na Dunia kwa ujumla.
"Mungu tusamehe tulipokosea, tuondoleee sintofahamu hii:
FB_IMG_1587195402907.jpeg
 
Back
Top Bottom