Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Iondoe, mwambie na Jirani "Samahani jirani, naomba unikwotue nimekosea kutuma"Ankoo fanya kunikwotua basi[emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anko huwa ananilaani sana nikipita anga zake muda anatamba, sasa wacha tufanye sijaona tu
McMahon vs Trump uliona hiyo?
Ulienda wapi nliweka
Ngoja nijaribu aiseh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijitahidi sana mpaka kufikia vile ujue, alafu embu fanya basi lile jaribio la mbinu mpya
Jirani naomba ufute hyo comment yenye umeni quoteAisee.....
TwendeNgoja nijaribu aiseh
Unasikiliza vinini hivyo?[emoji16]Kwako napataga vinono ila kwa wengine akutaga Ushubwada [emoji445]
Eti Ushubwada ni nini?
Niambie kama imekubaliTwende
Code utata nipe namba ya page tuNiambie kama imekubali
😂😂😂 kuna jirani yangu hapa ndio anasikilizaUnasikiliza vinini hivyo?[emoji16]
Acha kunisingizia[emoji16]
Mimi situmii browser ujue?[emoji23][emoji23]Code utata nipe namba ya page tu
1155904[emoji124][emoji124][emoji124][emoji23][emoji23][emoji23] kuna jirani yangu hapa ndio anasikiliza
Nimekumbuka watu wa App mnateleza na nyoka tu sasa Embu sitisha zoezi kwanzaMimi situmii browser ujue?[emoji23][emoji23]
#unafailsasa
dah, # huku haipo bhanaaa😂😂1155904[emoji124][emoji124][emoji124]