Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hehehe, halafu wakorea wenyewe wananoga romantic scene[emoji847]
Kwanza ongea yao tu iko romantic.

Ila unaangalia series iko na 32 episodes,unakuja kuambulia kiss epi ya 29 tena kiss yenyewe ya kukabana[emoji23][emoji23][emoji23]yaani hapo tu ndo huwa nachoka.

Ila kwenye kubebishana aaaahh wako vizuri[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom