carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hii ni romance?Find Me In Your Memory
Hii ni romance?Find Me In Your Memory
Sijambo MoudyHujambo bi Zoè
Hiyo comment ya DavUmefurahishwa na nini eti mrembo?
Endelea kushusha vitu,naandika pembeniThe World Of The Married
Hapana sitaweza mpendwa
Upo wapi?
Haipo iyoo [emoji7][emoji2956][emoji847][emoji847]Baada ya siku chache zinapotea tena
Ndiyo.Sorry mpendwa una kula konokono?
Ankoo naanzaje kukubishia sasa?Kusema tu ukweli wa kweli, pombe za nyumbani ni mbaya, hazina amsha amsha. Kelele za katuni zinakera,halafu kuna limjusi linanikwazaga sana, kila nikianza kukitukuza kimiminika kwenye glasi nae hutokea nyuma ya pazia la dirisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unasema kweli au unatania? 😃Kama sina wa kumkumbatia au kunikumbatia. 🏃♀️🏃♀️
Unaniuliza mimi tena ?? Badala mimi ndiyo nikuulize wewe !! [emoji1787][emoji1787] umemficha wapi eti
Ndo mana nakupendaga[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali babes,kizuri kula na nduguyo.
Enjoy[emoji847]
Kama nakuelewa hivi ankali[emoji848][emoji848]Yalikuwa maono ya kutafuta mtaji kisia... Yangetimia ungeona shamrashamra zake huko mbeleni
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂Nakazia hapo kwenye kumtaja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi unasema kweli au unatania? [emoji2]
[emoji2089][emoji2089]
Dahhh!Naona wanaanza na babysteps.
Ngoja tuone tunaendaje
Yaani hata sijui yupo wapi [emoji134][emoji134][emoji134]Unaniuliza mimi tena ?? Badala mimi ndiyo nikuulize wewe !! [emoji1787][emoji1787] umemficha wapi eti