Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Husaidia watu kuwa na mood nzuri
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali watu wenye hasira au mood mbaya kila siku huzalisha homoni chache sana za Dopamine na Serotonin ambazo zinasaidia kufanya ubongo kuwa na uchovu na kukosa furaha hivyo kumkumbatia mtu unayempenda inasaidia kuzalisha homoni hizi kwa wingi.
Carba ma-mood aona hapa ✌
 
Humsaidia mtu kupunguza hofu
Tafiti iliyofanywa na Psychological Science Journal imeeleza umuhimu wa kumkumbatia mtu mwenye hofu kwani inasaidia ubongo kupuuza taarifa hasi zinazotumwa kwenye ubongo pia husaidia mtu kuzalisha homoni zitakazomfanya ajiamini.
Mpendwa Hawachi wa kujificha handakini kisa hofu chukua hii
 
Huepusha mtu kupata magonjwa ya akili
Kukumbatiana kunasaidia kuzalisha kwa wingi homoni ya Dopamineambapo uzalishwaji wa homoni hii husaidia ubongo kupambana na magonjwa ya akili kama Depression, Bipolar pamoja na Dementia pia homoni hii inasaidia mtu kujiamini na kuwa mkweli.
Sijui nimtaje mtu hapa? 😂😂
 
Nilidhani ni mimi peke yangu hasa akitoa kichwa chake nje.
Ila raha ya kumuangalia konokono kichwa kiwe kimetokeza nje,mimi huwa nashindwaga hata kupepesa macho. Kama huku kwetu na hii hali ya baridi konokono wanakuwa wa shida sana, muda wote wapo kwenye majani,naishia kutamani kuwaona...
Samahani kwa maelezo marefu

#nimeguswasana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry mpendwa una kula konokono?
 
Back
Top Bottom