😂😂😂Mambo ya maua hayaa
[emoji257][emoji1651][emoji259][emoji255][emoji253][emoji272][emoji263]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂Mambo ya maua hayaa
[emoji257][emoji1651][emoji259][emoji255][emoji253][emoji272][emoji263]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusema tu ukweli wa kweli, pombe za nyumbani ni mbaya, hazina amsha amsha. Kelele za katuni zinakera,halafu kuna limjusi linanikwazaga sana, kila nikianza kukitukuza kimiminika kwenye glasi nae hutokea nyuma ya pazia la dirisha.Wale walipa kodi sasa ni muda wa kuhamishia bar nyumbani ama mnasemaje?[emoji23][emoji23]
Baa na vilabu kufungwa saa tatu usiku; tuko serious? - JamiiForums
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti wanakupa hospital ufanye ndio uwanja wa mapambano.
Wanakutibu na unachokuja nacho,kama ni mafua,kikohozi,homa na dalili nyingine.
Si unajua huu ugonjwa kama ukimwi tu hauna tiba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] limjusiiiiiKusema tu ukweli wa kweli, pombe za nyumbani ni mbaya, hazina amsha amsha. Kelele za katuni zinakera,halafu kuna limjusi linanikwazaga sana, kila nikianza kukitukuza kimiminika kwenye glasi nae hutokea nyuma ya pazia la dirisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀Wakishua unaogopa 😀😀
Yalikuwa maono ya kutafuta mtaji kisia... Yangetimia ungeona shamrashamra zake huko mbeleniMategemeo makubwa dhidi ya mbinu zao za mapambano na hii kitu, naona waliamini zitafanikiwa kwa urahisi pia kutaja namba kubwa kubwa kungezua taharuki na hofu kubwa kwa Wanannchi. Nahisi tu labda
Hii ni camera yetu kabisa hii 😀
Mungu aelekezwi cha kufanya na mwanadamu, bali mwanadamu atubu dhambi zake, tena kwa siri.Ngoja tukazie maombi tu maana hakuna namna tena
Nilidhani ni mimi peke yangu hasa akitoa kichwa chake nje.😀😀
simuogopi ila sipendi kumuona anachefua sana
Hiyo ya Akon nitakutumia ila hizo zilizopotea utazipata humo humo maana simu yako kubwa 😀Asante Sana king[emoji1696]
Bado moja ile ya Akon
Halafu zile 2 ulizonipa sielewi hata nimezipeleka wapi[emoji52]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Enyi ndugu zangu tunaotumia muda wote wa siku kuchezea simu kuperuzi mitandao mbalimbali bila hata kutumia muda mchache kumcha Mola wetu, badilikeni sasa