Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ila raha ya kumuangalia konokono kichwa kiwe kimetokeza nje,mimi huwa nashindwaga hata kupepesa macho. Kama huku kwetu na hii hali ya baridi konokono wanakuwa wa shida sana, muda wote wapo kwenye majani,naishia kutamani kuwaona...
Samahani kwa maelezo marefu

#nimeguswasana

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani mimi nimekuelewa saaaaanaaaaa ankooo
 
Natamani sana kumkumbatia Numbisa na @hawachi
FAIDA 10 ZA KUKUMBATIANA
Kitendo cha kukumbatiana sio tu kinaleta upendo na kuileta jamii pamoja bali kina faida kubwa za kiafya na kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizofanywa, watu hushauriwa kukumbatiana angalau mara 8 kwa siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom