The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
sure..sema kipindi App inaleta shida ndio nilihamia hukoImekaa hovyo sana,siiwezi mimi
Inanipaga uvivu sana yani,Uzi ukichangamka kweli wadau wanakuacha unakuwa nyuma sana 😀
huku na huko surname yake sistim 😂 😂 😂Hata simjui ndo kwanza namuona.
Halafu kuna id imepotea na yenyewe ndo imeingia.
Na kapita mulemule[emoji23][emoji23][emoji23]
#nimejikuta naimba niagieni[emoji23][emoji23]
Napendaga mbinu ya binti mpole, mnaendanae sawa kwenye matukio likes zenu mtazikuta kesho au kesho kutwa mkiamka 😀Inanipaga uvivu sana yani,
😀😀😀😀janja sana EstaNapendaga mbinu ya binti mpole, mnaendanae sawa kwenye matukio likes zenu mtazikuta kesho au kesho kutwa mkiamka 😀
Mkuu za jioni....[emoji23][emoji23][emoji23] jirani ndani ya nyumba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duh
Safi sana mkuu, vipi uzima na amani vipo?Mkuu za jioni....
Zali hilo jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duh