andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Ankoo,kwani konokono unamfahamu vizuri?Acha kufananisha pweza na vitu vya kinyaaa!! Ptyuuu[emoji2961]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ankoo,kwani konokono unamfahamu vizuri?Acha kufananisha pweza na vitu vya kinyaaa!! Ptyuuu[emoji2961]
Mungu ni mwema kwa kweliNatamani iwe hivyo. Kwema kabisa anko. Za huko?
Pete inavaliwa au inaingizwa kidoleni?
Ingiza Pete kidoleni....
Hali hii ya hewa huhitaji mtabiri kujua cha kufanya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kila deni hudaiwa....
😀Leo madeni yanakusanywa yotee na jirani... mpaka mchana umegeuzwa usikuNje na ndani hapafanani.....usiamini macho....
Naona ni drama,fantasy, melodrama na romance bado ni ongoing nimeona inasifiwa mitandaoni nasubiria iishe niivuteHii ni romance?
Abee Anko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtajeSijui nimtaje mtu hapa? 😂😂
Itakuwa ametingwaNamtaka kaka yangu Mimi[emoji24][emoji24]
Lizarazu njoo usikie kilio changu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mh..yule wa kwenye ile picha ya Hawachi namuongelea Anko... sio yule aliyejificha kwenye majani😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila raha ya kumuangalia konokono kichwa kiwe kimetokeza nje,mimi huwa nashindwaga hata kupepesa macho. Kama huku kwetu na hii hali ya baridi konokono wanakuwa wa shida sana, muda wote wapo kwenye majani,naishia kutamani kuwaona...
Samahani kwa maelezo marefu
#nimeguswasana
Sent using Jamii Forums mobile app
Jirani katika ubora wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]😀Leo madeni yanakusanywa yotee na jirani... mpaka mchana umegeuzwa usiku
Mara ya mwisho alisema Yuko busy na Mambo ya kifamilia na akaamua kujiweka mbali na mitandaoItakuwa ametingwa
Stela unapenda vitu vizuri wewe... ile misuli yake imekukosha kabisa unatoa chozi hapo! Kwani ulikwama wapi?Namtaka kaka yangu Mimi[emoji24][emoji24]
Lizarazu njoo usikie kilio changu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shwaini zako AnkoMh..yule wa kwenye ile picha ya Hawachi namuongelea Anko... sio yule aliyejificha kwenye majani[emoji3]
Imenibidi nirudie tena kusoma kwa makini comment ya Anko kwamba alimaanisha kingine sikuelewaMh..yule wa kwenye ile picha ya Hawachi namuongelea Anko... sio yule aliyejificha kwenye majani😀