Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Marahaba sana.
Naona KD hakutendei haki kila siku anakuacha mkavu, subiri ukapambane na maji mazito ya msukuma.
Shwaini zako

Sent using Jamii Forums mobile app
KD anakatalia picha zake..yaani utadhani nazikula jamani[emoji1751]

Yule msukuma akija hapa Ni shida..kwanza itatubidi tukatafute dikshenari..Hadi kuja kumaliza kuchat naye kichwa kinauma yaani kwa kimalkia chake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa kishua siku akija huko atalala na maduvet saba kwa wakati mmoja
Huyu atadai tumpe Moto wa kuota usiku wa manane
Maana kitandani tu muda wa kulala unawaza Mara mbilimbili Ni Kama pamemwagiwa barafu hivi..Hadi ulale papate joto joto Ni dk 15 Hadi 20.
Mimi huwa sipendi tabu zote..nachuka pasi napitisha vizuri ndo nalala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…