Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndiyo hapo, ila ule mkondo hivi sasa umepanuka.
Na hili la leo ni mara ya tatu kuonekana mamba eneo hilo.
Mara ya kwanza alionekana mwanzoni mwa 2018, aliuwawa na askari wa wanyamapori, baada ya miezi miwili akaonekana mwingine.
Na hii leo ameonekana mwingine wakati nikipita kwenye eneo hilo.
Inadaiwa analetwa hapo na mkondo wa maji unaotokea misitu ya Kazimzumbwi Kisarawe
Hapo nimekuelewa Mzee wa pwani. Nashukuru sana kwa uwepo wako hapa maana najifunza vitu vingi sana kutoka kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakuwa umepewa mguu na shogayo kapewa mkono na dada SA kapewa kifua.
Ushauri, ziungajnsheni picha hizo mjipatie kitu kamili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mtu aliye na lips zake aje tuyajenge
Viungo vingine vyote ninavyo.
Kama huna lips zake tafwadhari usinifwate[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji847] usichelewe
.
20191025_094252.jpeg
 
Back
Top Bottom