Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah KD kakoma kuuliza ovyo
Huwa naangalia vikorea na wanabaridi balaa sema wenzetu wana maendeleo so wameweka mfumo wa heater kama feni vile ukitaka joto unabonyeza sehemu na kuweka kiwango chako ukitaka baridi hivyo hivyo
Huwa naangalia vikorea na wanabaridi balaa sema wenzetu wana maendeleo so wameweka mfumo wa heater kama feni vile ukitaka joto unabonyeza sehemu na kuweka kiwango chako ukitaka baridi hivyo hivyo
Huyu atadai tumpe Moto wa kuota usiku wa manane
Maana kitandani tu muda wa kulala unawaza Mara mbilimbili Ni Kama pamemwagiwa barafu hivi..Hadi ulale papate joto joto Ni dk 15 Hadi 20.
Mimi huwa sipendi tabu zote..nachuka pasi napitisha vizuri ndo nalala.
Sent using Jamii Forums mobile app